Sayona Subwoofer Available
SayonaPPs Subwoofer Zinapatikana katika Maduka ya bicmark Trading kwa nbei za jumla na rejareja Subwoofer hizi zina ubora wa hali ya juu miongoni mwa mashirika ya viwango yaliyo ipitisha EAst Africa ni KEnya Berue Of Standards(KEBS). Tuna uthibitisha ubora wake nasi na kukuletea Subwoofer zinazodumu,na kuwa na sauti yenye Quality Hunahaja ya HOme Thearty.
SayonaPPs inatengeneza na Kampuni ya Ninja Group ya Dubai
Tembelea Maduka yetu yaliopo HIMO katika kanisa katoliki,na Holili karibu na Geti la TRA (mpakani HOlili)
+255758489123
ORDER/Subscribe
+ comments + 1 comments
Habari naweza pata remote ya sayona subwoofer SHY-1079
Post a Comment