5in1 Univesal Battery Car Charger
5in1 UNIVERSAL BATTERY CAR CHARGER. ni chaja ya solar na simu yenye njia tano za kuchajishia simu.
chaja hii ina sehemu yenye kobe(universal),pini ndogo,pin kubwa,pin ya samsung(smartphone aina zote,pini ya tecno,itel ) inaweza kutumika kwenye volt 24DC na 12DC ikichajisha simu 2kwa wakati mmoja

+255758489123
ORDER/Subscribe
Post a Comment