LCD Universal Charger
LCD universal Charger ni chaja yeenye ubora zaidi inayodumu kwa Muda mrefu na uhakika wa utunzaji wa betri ya simu au camera yako. chaja hii ina sehemu ya USB yenye 1.5aMp,upande wa bettery inachaji sawa na betri ikiwa katika simu.hai vimbishi betri na inapojaa betri itaonesha idadi ya cell(mawe) yaliyo jazwa.
+255758489123
ORDER/Subscribe
Post a Comment